Sifuna Aibuka Kama Sauti Mpya ya Siasa za Mulembe
Mjadala kuhusu mustakabali wa uongozi wa kisiasa katika eneo la Mulembe umechukua mkondo mpya baada ya viongozi kadhaa kuanza kumtaja Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna kama mmoja wa viongozi wanaoweza kuiongoza jamii hiyo kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza katika Kaunti ya Bungoma, Seneta wa Kakamega Boni Khalwale alisema jamii ya Mulembe inahitaji…
