Gavana Nassir Aunga Mkono Ushirikiano ODM–UDA, Asema Ardhi Ndiyo Kiini cha Mageuzi
Naibu Kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) ambaye pia ni Gavana wa Mombasa, Abdullswamad Nassir, ameendelea kuunga mkono kwa nguvu ushirikiano wa kisiasa kati ya ODM na United Democratic Alliance (UDA), akisema muafaka huo haujajengwa kwa maslahi ya kisiasa ya muda mfupi bali juu ya ajenda ya muda mrefu ya mageuzi, hasa katika…
