Biashara ya nyama ya Punda kuendelea licha ya marufuku.
BIASHARA haramu ya nyama na ngozi za punda imeendelea kushamiri nchini licha ya serikali kupiga marufuku uchinjaji kibiashara wa wanyama hao mwaka wa 2020. Katika tukio la hivi karibuni, wakazi wa eneo la Kimuka, Kaunti ya Kajiado, walinasa lori lililokuwa likisafirisha nyama inayoshukiwa kuwa ya punda pamoja na ngozi zake. Wakazi wenye hasira waliwachapa wanaume…
