Rais William Ruto atetea uamuzi wake wa kueka kituo cha wagonjwa wa Ebola humu nchini.

Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha Ebola huko Laikipia, akisema kuwa itakuwa “unyama” na kutowajibika kukataa ombi lililofadhiliwa na Amerika la kusaidia kudhibiti vitisho vya afya na milipuko ya magonjwa. Akizungumza katika ziara ya kitaifa nchini Afrika Kusini, Rais alisema serikali ya Marekani imetoa mabilioni ya fedha kusaidia miundombinu…

Read More

Kilalo: Ushirikiano na serikali ya Kitaifa

Naibu Gavana wa kaunti ya Taita Taveta Christine Kilalo ametoa wito wa kuimarishwa zaidi kwa ushirikiano wa serikali ya kaunti hiyo na serikali ya kitaifa ili kuweza kupambana na changamoto zinazokumba wakaazi pamoja kufanikisha maendeleo. Kilalo alisema kuwa migogoro ya mashamba, kuimarishwa kwa huduma na kuwaweza wakaazi kimaendeleleo ni baadhi ya maswala ambayo yanastahili kushughulikiwa…

Read More

Ahmed Khalif Kuenziwa Kupitia Uwanja wa Wajir

Uwanja mpya wa Wajir sasa utajulikana kama Ahmed Khalif Wajir Stadium baada ya Rais William Ruto kukubali ombi la viongozi wa eneo hilo la kumuenzi mwanasiasa mashuhuri marehemu Ahmed Mohamed Khalif. Hatua hiyo ilitangazwa wakati wa sherehe za Madaraka Day katika Kaunti ya Wajir, ambapo viongozi walieleza kuwa marehemu Khalif aliweka historia kwa kuwa mmoja…

Read More

Wakulima wa Chai Walalamikia Ushuru Mpya wa Asilimia 0.8 

Wakulima wa majani chai kutoka maeneo mbalimbali nchini wameibua wasiwasi mkubwa kuhusu ushuru wa asilimia 0.8 uliopendekezwa katika Mswada wa Majani Chai, wakisema hatua hiyo itaongeza mzigo kwa wakulima na kudhoofisha sekta hiyo muhimu ya uchumi. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu, mwenyekiti wa kiwanda cha majani chai cha Kagwe, William Muroki Githumbi, alisema wakulima hawakuhusishwa…

Read More