Wakenya Waonywa Kuhusu Mzigo Mpya wa Ushuru na Deni
Wakenya wanakabiliwa na mzigo mkubwa zaidi wa kiuchumi iwapo mapendekezo ya bajeti ya mwaka wa kifedha 2026/27 yatapitishwa, kwa mujibu wa kiongozi wa Chama cha Democracy for the Citizens (DCP), Rigathi Gachagua. Akizungumza kuhusu bajeti ya shilingi trilioni 4.82 na Mswada wa Fedha 2026, Gachagua amesema hatua za kuongeza ushuru na kuendelea kukopa zitawaathiri zaidi…
