Rais Ruto Aanza Ziara Ya Mataifa Ya Ulaya

Rais William Ruto ameondoka nchini kuelekea barani Ulaya kwa ziara rasmi inayolenga kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Kenya na mataifa ya Ulaya. Rais aliondoka Jumapili jioni kuelekea Ubelgiji, Norway na Finland. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu, ziara hiyo inalenga kushawishi uwekezaji zaidi nchini Kenya pamoja na kupanua masoko ya bidhaa za Kenya katika…

Read More

Sudan Yaongoza Orodha ya Migogoro ya Wakimbizi Iliyopuuzwa

Sudan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Colombia zimetajwa kuwa miongoni mwa migogoro ya wakimbizi iliyopuuzwa zaidi duniani, kulingana na Shirika la Norwegian Refugee Council. Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni tisa wameyakimbia makazi yao ndani ya Sudan tangu kuzuka kwa vita mwaka 2023, huku wengine milioni nne wakikimbilia mataifa jirani. Aidha, takriban watu…

Read More

Kenya na Urusi zajizatiti kuimarisha ushirikiano katika sekta mbali mbali.

Kenya na Urusi zinajizatiti kuimarisha ushirikiano baina yao katika sekta za elimu, biashara, nishati na utamaduni, huku uhusiano wa nchi hizi mbili ukiendelea kuimarika. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Urusi Jijini Nairobi, balozi wa Urusi nchini Kenya Vsevolod Tkachenko, alisema nchi hizi mbili zimepiga hatua ya kumezewa mate katika siasa, uchumi…

Read More

Trump ataka mataifa zaidi kujiunga kwenye Mkataba wa Abraham

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema makubaliano yoyote ya kumaliza mzozo na Iran yanapaswa kujumuisha nchi zaidi kwenye Makubaliano ya Abraham, yaliyosimamiwa na Marekani. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema makubaliano yoyote ya kumaliza mzozo na Iran yanapaswa kujumuisha nchi zaidi kwenye Makubaliano ya Abraham, yaliyosimamiwa na Marekani kwa ajili ya kuimarisha uhusiano kati ya Israel…

Read More

Watu wanne waokolewa baada ya bodi kupinduka Lamu

Shirika la msalaba mwekundu linaendelea na operesheni kubwa ya utafutaji na uokoaji kufuatia ajali ya boti iliyopinduka katika eneo la Kwa Bruno Channel, karibu na eneo la LAPSSET Corridor katika kaunti ya Lamu County. Kupitia ukurasa wake wa X, shirika hilo lilithibitisha kuwa watu wanne tayari wameokolewa wakiwa hai kutoka majini na kukimbizwa katika vituo…

Read More