Mike

Ruto: Wanaogawa Wakenya Watawajibika

Rais William Ruto amewashutumu wakosoaji wake kwa kuchochea ubaguzi wa kikabila na chuki, akionya kuwa wale wanaowagawa Wakenya kwa misingi ya ukabila “watawajibika” kwa matendo yao, huku akianza ziara ya maendeleo ya siku tano katika eneo la Pwani mjini Mombasa. Akizungumza jijini Mombasa Jumatano, Ruto alisema juhudi za kuchochea mgawanyiko wa kikabila hazitafanikiwa, akihusisha hali…

Read More

Watu wanne waokolewa baada ya bodi kupinduka Lamu

Shirika la msalaba mwekundu linaendelea na operesheni kubwa ya utafutaji na uokoaji kufuatia ajali ya boti iliyopinduka katika eneo la Kwa Bruno Channel, karibu na eneo la LAPSSET Corridor katika kaunti ya Lamu County. Kupitia ukurasa wake wa X, shirika hilo lilithibitisha kuwa watu wanne tayari wameokolewa wakiwa hai kutoka majini na kukimbizwa katika vituo…

Read More

Aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua adai kuwa wakati wa uongozi wake Rais Ruto alimuambia kuwa anataka kuwa tajiri zaidi kuliko watangulizi wake.

Kiongozi wa Chama cha Demokrasia kwa Raia (DCP) Rigathi Gachagua amedai kwamba Rais William Ruto mara moja alimtahadharisha kwamba anakusudia kukusanya utajiri zaidi ya baadhi ya familia tajiri zaidi nchini Kenya.  Kiongozi wa DCP, ambaye yupo Uingereza kwa ziara ya kisiasa, alidai kuwa wakati alikuwa bado akishiriki urafiki wa dhahabu na Rais, alisema kwamba anapanga…

Read More

Zaidi ya watu Elfu kumi na tano (15,000) wameaga dunia kutokana na virusi vya Ebola.

Hatari kutoka mlipuko hatari wa Ebola ni kubwa katika Afrika ya Kati lakini bado ni ndogo kimataifa, Shirika la Afya Duniani jana Jumatano lilisema, likiongeza kuwa virusi hivo huenda vimekuwa vikienea kwa miezi kadhaa.  Mlipuko wa homa ya mapafu yenye kuambukiza sana ulitangazwa katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ijumaa iliyopita.  Ebola imewaua…

Read More