Rais William Ruto atetea uamuzi wake wa kueka kituo cha wagonjwa wa Ebola humu nchini.
Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha Ebola huko Laikipia, akisema kuwa itakuwa “unyama” na kutowajibika kukataa ombi lililofadhiliwa na Amerika la kusaidia kudhibiti vitisho vya afya na milipuko ya magonjwa. Akizungumza katika ziara ya kitaifa nchini Afrika Kusini, Rais alisema serikali ya Marekani imetoa mabilioni ya fedha kusaidia miundombinu…
