Wakulima wa Chai Walalamikia Ushuru Mpya wa Asilimia 0.8 

Wakulima wa majani chai kutoka maeneo mbalimbali nchini wameibua wasiwasi mkubwa kuhusu ushuru wa asilimia 0.8 uliopendekezwa katika Mswada wa Majani Chai, wakisema hatua hiyo itaongeza mzigo kwa wakulima na kudhoofisha sekta hiyo muhimu ya uchumi. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu, mwenyekiti wa kiwanda cha majani chai cha Kagwe, William Muroki Githumbi, alisema wakulima hawakuhusishwa…

Read More

Mwaura: Wakenya wasome mswada wa fedha 2026

Serikali imewahakikishia Wakenya kuwa mswada wa Fedha mwaka 2026 haujajumuisha baadhi ya ushuru unaodaiwa kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii, ikisema taarifa hizo ni za kupotosha na zenye nia ya kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano, msemaji wa serikali Isaac Mwaura alisema kuwa madai kuhusu ushuru mpya kwa nguo kuukuu maarufu…

Read More

Hali ya kesi za Tundu Lissu, Kizza Besigye na Victoire Ingabire

Platform for African Democrats,ambalo ni jukwaa la kisiasa linalowaleta pamoja viongozi wa upinzani, wanaharakati na vyama mbalimbali vya kisiasa barani Afrika, limekosoa matumizi ya mifumo ya mahakama dhidi ya viongozi wa upinzani katika baadhi ya nchi za Afrika Mashariki. Jukwaa hilo, lilitaja kesi zinazowakabili Tundu Lissu wa nchini Tanzania, Kizza Besigye wa nchini Uganda na…

Read More

Nafasi ya mawakili wapya katika kuimarisha haki nchini

Martha Koome amewataka mawakili wapya walioapishwa kutumia taaluma yao kama chombo cha kuimarisha haki, kulinda Katiba na kuwahudumia Wakenya wote bila ubaguzi, hususan watu wasiokuwa na uwezo wa kifedha na wanaoishi katika maeneo yaliyotengwa. Akizungumza Jumatatu wakati wa hafla ya kuwaapisha mawakili hao wapya, Koome alisema kuwa jukumu la wakili halipaswi kuishia tu mahakamani bali…

Read More