Kesi Ya Gachagua Yasubiri Uamuzi Wa Mahakama Leo

Macho ya Wakenya leo yanaelekezwa katika Mahakama Kuu ya Nairobi, ambapo uamuzi wa kesi inayopinga kuondolewa afisini kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua unatarajiwa kutolewa. Jopo la majaji watatu; Erick Ogola, Antony Mrima na Freda Mugambi, linatarajiwa kutoa uamuzi huo siku chache baada ya pande zote zinazohusika kukamilisha mawasilisho yao tarehe 22 mwezi uliopita. Uamuzi…

Read More