Mahakama yasitisha mpango wa vituo vya Ebola nchini Kenya

Mahakama Kuu imeizuia kwa muda serikali kuanzisha au kuendesha vituo vya karantini, kutenga au kutibu wagonjwa wa Ebola nchini chini ya makubaliano yoyote na Marekani au taifa lingine la kigeni. Mahakama pia imepiga marufuku kuingizwa nchini, kuhamishwa au kupokelewa kwa watu walioathiriwa au kuambukizwa Ebola hadi kesi hiyo itakaposikilizwa na kuamuliwa. Hatua hiyo ilichukuliwa baada…

Read More