Ruto: Aeleza Sababu ya Kituo cha Ebola
Kiongozi wa taifa ametetea mpango wa serikali wa kujenga kituo cha kuwatenga watu walioathiriwa na virusi vya Ebola katika Kaunti ya Laikipia, akisema hatua hiyo inalenga kuimarisha afya ya umma na uwezo wa Kenya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na wanahabari katika Ikulu Ndogo ya Wajir, Rais Ruto alisema ujenzi wa kituo hicho ni…
