Ruto Aipa Gor Mahia Changamoto Ya Kutwaa Ubingwa Wa Afrika
Rais William Ruto ameipa Gor Mahia changamoto ya kuiwakilisha vyema taifa la Kenya katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Rais aliwapokea mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Kenya katika Ikulu ya Nairobi Jumapili baada ya kutwaa ubingwa wao wa 22 wa ligi. Katika hafla hiyo, Rais aliwasifu kwa mafanikio yao huku akiwataka…
