ODM Kujifunza Mfumo wa Uteuzi Afrika Kusini na Ghana
Chama cha ODM kimeanza maandalizi ya kuimarisha mfumo wake wa uteuzi wa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 kwa kutuma viongozi wa kamati yake ya uchaguzi kujifunza kutoka vyama vya siasa vya mataifa mengine ya Afrika. Viongozi hao wanatarajiwa kusafiri hadi Afrika Kusini kujifunza jinsi chama tawala cha African National Congress (ANC) kinavyoendesha uteuzi…
