Wanahabari Wajir Wahimizwa Kupambana na Ukeketaji
Wanahabari katika Kaunti ya Wajir wamehimizwa kutumia majukwaa yao kupambana na ukeketaji, ndoa za mapema na mila nyingine zinazokiuka haki za watoto wa kike. Wito huo ulitolewa wakati wa kongamano la wanahabari lililoandaliwa na Kenya Alliance for Advancement of Children kupitia mpango wa Future4Binti, unaotekelezwa katika kaunti za Wajir na Mandera kati ya mwaka 2026…
