Sudan Yaongoza Orodha ya Migogoro ya Wakimbizi Iliyopuuzwa
Sudan, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Colombia zimetajwa kuwa miongoni mwa migogoro ya wakimbizi iliyopuuzwa zaidi duniani, kulingana na Shirika la Norwegian Refugee Council. Shirika hilo linasema zaidi ya watu milioni tisa wameyakimbia makazi yao ndani ya Sudan tangu kuzuka kwa vita mwaka 2023, huku wengine milioni nne wakikimbilia mataifa jirani. Aidha, takriban watu…
