Mahindi ya Nchi Jirani Yawaumiza Wakulima
Wakulima wa mahindi nchini Kenya wanakabiliwa na changamoto ya wafanyabiashara wengi, kuagiza mahindi kutoka nje ya nchi kufuatia kuongezeka kwa uagizaji wa mahindi ya bei nafuu kutoka mataifa ya COMESA, hali inayozua mjadala kuhusu mustakabali wa uzalishaji wa chakula nchini. Bei ya gunia la mahindi imeshuka kutoka takriban Shilingi 4,600 hadi karibu Shilingi 4,000 ndani…
