Kongamano la Roots Party jijini Nairobi

Kingozi wa Roots Party profesa George Wajackoyah aliwaongoza wanachama wake kwenye kongamano la kitaifa la wajumbe (NDC) siku ya Jumamosi Mei 23, 2026, jijini Nairobi huku likiwavutia wajumbe kutoka kote nchini. Kwenye kongamano hilo kiongozi huyo aliweka wazi azma yake ya kuwani kiti cha urais kwenye uchaguzi mkuu ujao mwaka wa 2027 huku wajumbe wakitumia…

Read More

Ruto: Wanaogawa Wakenya Watawajibika

Rais William Ruto amewashutumu wakosoaji wake kwa kuchochea ubaguzi wa kikabila na chuki, akionya kuwa wale wanaowagawa Wakenya kwa misingi ya ukabila “watawajibika” kwa matendo yao, huku akianza ziara ya maendeleo ya siku tano katika eneo la Pwani mjini Mombasa. Akizungumza jijini Mombasa Jumatano, Ruto alisema juhudi za kuchochea mgawanyiko wa kikabila hazitafanikiwa, akihusisha hali…

Read More