Kenya na Urusi zajizatiti kuimarisha ushirikiano katika sekta mbali mbali.
Kenya na Urusi zinajizatiti kuimarisha ushirikiano baina yao katika sekta za elimu, biashara, nishati na utamaduni, huku uhusiano wa nchi hizi mbili ukiendelea kuimarika. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya siku ya kitaifa ya Urusi Jijini Nairobi, balozi wa Urusi nchini Kenya Vsevolod Tkachenko, alisema nchi hizi mbili zimepiga hatua ya kumezewa mate katika siasa, uchumi…
