Maandamano ya kupinga bei za mafuta-Marsabit

Vijana na wahudumu wa bodaboda mjini Marsabit mapema Jumatatu waliungana na wakenya wengine kushiriki maandamano ya kulalamikia ongezeko la bei ya mafuta. Mandamano hayo yalikatiza shughuli za biashara, huku baadhi ya maduka yakisalia kufungwa mapema Jumatatu Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji waliokuwa wakiteketeza magurudumu ya magari na kuziba barabara kuu ya…

Read More