Mashabiki wa Asenali washerekea mjini Garissa baada ya ktwaa kombe la Epl baada ya miaka 22.

Makumi ya mashabiki wa kilabu ya Arsenal katika kaunti ya Garissa walijitokeza kwa wingi ili

kusherehekea ushindi wa kilabu ya kuitwa kombe la Epl msimu huu.

Wakizungumza mjini Garissa mshabiki hao wakiongozwa na Dickson Odhiambo waliisifia

kilabu hiyo kwa kutwaa ubingwa huo, huku wengi wao wakisema kuwa kwa kipindi cha

miaka 22 wamekuwa wakiisubiria ushindi huo na sasa maombi yao yamejibiwa na mungu.

Klabu hiyo ya Arsenal kwa sasa wameshinda taji hilo mara nne huku wakitwaa kombe hilo la

Epl mwaka wa 1997 kwa mara ya kwanza,kisha wakafanikiwa vilevile kulishinda taji hilo

mwaka wa 2001,2004 na mwishowe kuitwa tena mwaka huu wa 2025/2026.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *