Wakazi wa Garissa Waingiwa na Hofu Kutokana na Uhalifu

Wakazi wa Garissa wameeleza wasiwasi wao kufuatia kuongezeka kwa visa vya uhalifu vinavyotekelezwa na makundi ya vijana wenye silaha za jadi pamoja na baadhi ya waendesha bodaboda. Makundi hayo yanadaiwa kuendesha wizi wa kutumia nguvu, mashambulizi na hata kuweka vizuizi haramu usiku ili kuwatoza wakazi fedha. Matukio ya hivi karibuni yamewalazimu wafanyabiashara wengi kufunga biashara…

Read More

Watu wanne waokolewa baada ya bodi kupinduka Lamu

Shirika la msalaba mwekundu linaendelea na operesheni kubwa ya utafutaji na uokoaji kufuatia ajali ya boti iliyopinduka katika eneo la Kwa Bruno Channel, karibu na eneo la LAPSSET Corridor katika kaunti ya Lamu County. Kupitia ukurasa wake wa X, shirika hilo lilithibitisha kuwa watu wanne tayari wameokolewa wakiwa hai kutoka majini na kukimbizwa katika vituo…

Read More