Skip to content

Mgomo wa magari ya uchukuzi wa umma wasitishwa muda wa wiki moja.

Oplus_131072

Mgomo wa magari ya uchukuzi wa umma kupinga bei za mafuta nchini umesitishwa muda wa wiki moja ili kuruhusu mazungumzo zaidi kati ya wamiliki wa magari ya uchukuzi na wizara ya kawi pamoja na washikadau wengine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *