Trump ataka mataifa zaidi kujiunga kwenye Mkataba wa Abraham
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema makubaliano yoyote ya kumaliza mzozo na Iran yanapaswa kujumuisha nchi zaidi kwenye Makubaliano ya Abraham, yaliyosimamiwa na Marekani. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema makubaliano yoyote ya kumaliza mzozo na Iran yanapaswa kujumuisha nchi zaidi kwenye Makubaliano ya Abraham, yaliyosimamiwa na Marekani kwa ajili ya kuimarisha uhusiano kati ya Israel…
