Maandalizi ya siku kuu ya madaraka wajir yafikia asilimia 84
Maandalizi ya sherehe za kitaifa za siku ya Madaraka mwaka huu, zitakazofanyika katika Kaunti ya Wajir sasa yamekamilika kwa asilimia 84, huku Serikali ikiwa na imani kuwa kazi zote muhimu zitakuwa zimekamilika mapema kabla ya hafla hiyo tarehe mosi mwezi wa Juni 2026. Katibu Mkuu wa Usalama wa Ndani na Utawala wa Kitaifa, Raymond Omollo,…
