Baadhi ya wenye ardhi walalamikia kuhusu upanuzi wa uwanja wa ndege wa Wajir
Mvutano umeibuka kuhusu mpango wa upanuzi wa uwanja wa ndege kaunti ya Wajir huku waamiliki wa ardhi walioathirika wakitishia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mamlaka ya viwanja vya ndege pamoja na serikali ya kaunti hiyo. Wakazi hao wanadai kuna unyakuzi wa ardhi kinyuma cha sheria na kuwa wametengwa katika vikao muhimu vya mashauriano. Zaidi…
