ODM YAKABILIWA NA PRESHA YA UMAARUFU WA MATIANG’I GUSII

Chama cha ODM, kinakabiliwa na changamoto ya kudumisha ushawishi wake katika eneo la Gusii kutokana na kuongezeka kwa umaarufu wa aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani Fred Matiang’i kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM, kutoka Kisii na Nyamira tayari wameonyesha kumuunga mkono Matiang’i, huku wengine wakionekana kusitasita kati…

Read More

Rais William Ruto amesema mfumo wa elimu nchini ndio bora zaidi kwa kuzingatia teknolojia

William Ruto amesema Kenya inaendelea kufanya mageuzi ya mfumo wa elimu ili kuhakikisha wanafunzi wanaendana na soko la ajira duniani linalobadilika kwa kasi, hasa katika sekta ya teknolojia. Rais alisema mfumo wa elimu wa Competency-Based Education (CBE) una mwelekeo wa vitendo zaidi na unalenga kukuza ujuzi, maarifa na uwezo wa wanafunzi. Alikuwa akizungumza katika kongamano…

Read More

Kenya na Ufaransa zatia sahihi makubaliano ya ushirikaino

Kenya na Ufaransa zimetia sahihi mikataba ya ushirikiano katika sekta mbalimbali, hafla iliyofanyika katika Ikulu ya Nairobi. Akizungmza baada ya kusaini mikataba hiyo rais Dokta William Ruto alisema kuwa Kenya, itaendelea kuwa mshirika wa karibu wa Ufaransa katika sekta mbalimbi kwa manufaa ya nchi zote mbili. Mikataba iliyosainiwa ni ya sekta ya uchimbaji madini, sekta…

Read More

Jaji Mkuu Martha Koome amesisitiza umuhimu wa uthabiti

Jaji Mkuu Martha Koome amesisitiza umuhimu wa uthabiti, maadili na misingi imara ya maisha, akieleza kuwa mafanikio yake yametokana na kuvumilia changamoto na kujifunza kupitia misukosuko ya maisha.Akizungumza katika kipindi cha She Means Business, Koome, alirejelea simulizi zilizomo kwenye kitabu chake Courting Courage, akibainisha kuwa safari yake imejengwa juu ya malezi yenye misingi ya nidhamu,…

Read More

Kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameikosoa vikali

Kiongozi wa chama cha DCP, Rigathi Gachagua, ameikosoa vikali sera za uchumi na ajira za serikali, akidai kuwa makato yanayoendelea yameongeza mzigo kwa wafanyakazi nchini.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya soko la ajira ya mwaka 2026, Gachagua alisema makato kama PAYE, SHA, NSSF pamoja na ushuru wa nyumba yamepunguza kwa kiwango kikubwa kipato halisi…

Read More

Raia wa Kenya wanaoishi Afrika Kusini

Raia wa Kenya wanaoishi Afrika Kusini wametakiwa kuchukua tahadhari zaidi kufuatia maandamano yanayoripotiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, yanayowalenga wageni.Ubalozi wa Kenya nchini humo umewasihi Wakenya kuepuka maeneo ya mikusanyiko ya maandamano, kubeba vitambulisho vyao muda wote, na kufuata maelekezo ya vyombo vya usalama.Aidha, wametakiwa kuripoti matukio yoyote ya dharura kwa mamlaka husika…

Read More