Zaidi ya watu Elfu kumi na tano (15,000) wameaga dunia kutokana na virusi vya Ebola.

Hatari kutoka mlipuko hatari wa Ebola ni kubwa katika Afrika ya Kati lakini bado ni ndogo kimataifa, Shirika la Afya Duniani jana Jumatano lilisema, likiongeza kuwa virusi hivo huenda vimekuwa vikienea kwa miezi kadhaa.  Mlipuko wa homa ya mapafu yenye kuambukiza sana ulitangazwa katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ijumaa iliyopita.  Ebola imewaua…

Read More

Wakulima mjini Garissa waomba msaada kutoka kwa serikali kuu kuhusiana na mafuriko.

Wakulima katika kaunti ya garissa wanaiomba serikali kuu kuingilia kati swala la mafuriko inayoathiri mimea yao mashambani kila mara. aidha wakulima hao wameisuta kampuni ya kengen pamoja na warma kwa kufungulia maji kutoka kwa mabwawa punde tu yanapojaa. itakumbukwa kuwa mashamba kutoka eneo la Mbalambala hadi Ijara yanatumika kwenye shughuli za ukulima,huku baadhi ya wakulima…

Read More

Maandamano ya kupinga bei za mafuta-Marsabit

Vijana na wahudumu wa bodaboda mjini Marsabit mapema Jumatatu waliungana na wakenya wengine kushiriki maandamano ya kulalamikia ongezeko la bei ya mafuta. Mandamano hayo yalikatiza shughuli za biashara, huku baadhi ya maduka yakisalia kufungwa mapema Jumatatu Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi kuwatawanya wandamanaji waliokuwa wakiteketeza magurudumu ya magari na kuziba barabara kuu ya…

Read More

Maandamano mjini Garissa

Wahudumu wa matatu mjini Garissa hii leo wameweza kulemaza shughuli za usafri hii nibaada ya wahudumuhao kuungana na wenzao kote nchini kwenye mgomo wa vyombo vya usafri kutokana na ongezeko la bei ya mafuta.Aidha mapema asubuhi ya leo makumi ya wasafri mjini madogo walilazimika kutumiapikipiki kuendekazini huku weingine wakilazimikakutembeakwa miguuhadimjiniGarissa.Hata hivyo wahudumu hao wa gamama…

Read More