Bunge Lakanusha Madai ya Ushuru Mpya wa Ardhi
Bunge la Kitaifa limefafanua kuwa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kuanzishwa kwa ushuru mpya wa kila mwaka kwa ardhi kupitia Mswada wa Fedha wa 2026 ni za uongo na zinapotosha umma. Kupitia taarifa rasmi, Bunge limesema Mswada wa Fedha wa mwaka 2026 una vifungu 57 na hakuna kifungu chochote kinachohusu kuanzishwa kwa ushuru wa ardhi ya…
