Binti Wangila

Ruto: Aeleza Sababu ya Kituo cha Ebola

Kiongozi wa taifa ametetea mpango wa serikali wa kujenga kituo cha kuwatenga watu walioathiriwa na virusi vya Ebola katika Kaunti ya Laikipia, akisema hatua hiyo inalenga kuimarisha afya ya umma na uwezo wa Kenya kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Akizungumza na wanahabari katika Ikulu Ndogo ya Wajir, Rais Ruto alisema ujenzi wa kituo hicho ni…

Read More

Kesi ya Moto Utumishi Girls Yafika Mahakamani 

Wanafunzi tisa wa Utumishi Girls Academy wanaodaiwa kuhusika katika tukio la moto ulioteketeza bweni la shule hiyo wamefikishwa katika Mahakama ya Naivasha, wakikabiliwa na tuhuma za mauaji kufuatia vifo vya wanafunzi 16 vilivyotokana na mkasa huo. Katika shauri hilo, upande wa mashtaka umeiomba mahakama kuwaruhusu maafisa wa upelelezi kuwaweka mahabusu washukiwa hao kwa muda wa…

Read More

SHA Yajivunia Usajili wa Milioni 31.5

Zaidi ya Wakenya milioni 31.5 wamejisajili chini ya Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), huku serikali ikisisitiza kuwa mpango huo unaendelea kupanua upatikanaji wa huduma za afya nchini. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Madaraka katika Kaunti ya Wajir, Rais William Ruto alisema kati ya waliojisajili, zaidi ya watu 800,000 wanatoka katika kaunti za…

Read More

Ahmed Khalif Kuenziwa Kupitia Uwanja wa Wajir

Uwanja mpya wa Wajir sasa utajulikana kama Ahmed Khalif Wajir Stadium baada ya Rais William Ruto kukubali ombi la viongozi wa eneo hilo la kumuenzi mwanasiasa mashuhuri marehemu Ahmed Mohamed Khalif. Hatua hiyo ilitangazwa wakati wa sherehe za Madaraka Day katika Kaunti ya Wajir, ambapo viongozi walieleza kuwa marehemu Khalif aliweka historia kwa kuwa mmoja…

Read More

Mahakama yasitisha mpango wa vituo vya Ebola nchini Kenya

Mahakama Kuu imeizuia kwa muda serikali kuanzisha au kuendesha vituo vya karantini, kutenga au kutibu wagonjwa wa Ebola nchini chini ya makubaliano yoyote na Marekani au taifa lingine la kigeni. Mahakama pia imepiga marufuku kuingizwa nchini, kuhamishwa au kupokelewa kwa watu walioathiriwa au kuambukizwa Ebola hadi kesi hiyo itakaposikilizwa na kuamuliwa. Hatua hiyo ilichukuliwa baada…

Read More

Wakulima wa Chai Walalamikia Ushuru Mpya wa Asilimia 0.8 

Wakulima wa majani chai kutoka maeneo mbalimbali nchini wameibua wasiwasi mkubwa kuhusu ushuru wa asilimia 0.8 uliopendekezwa katika Mswada wa Majani Chai, wakisema hatua hiyo itaongeza mzigo kwa wakulima na kudhoofisha sekta hiyo muhimu ya uchumi. Akizungumza katika kaunti ya Kiambu, mwenyekiti wa kiwanda cha majani chai cha Kagwe, William Muroki Githumbi, alisema wakulima hawakuhusishwa…

Read More