Nafasi ya mawakili wapya katika kuimarisha haki nchini

Martha Koome amewataka mawakili wapya walioapishwa kutumia taaluma yao kama chombo cha kuimarisha haki, kulinda Katiba na kuwahudumia Wakenya wote bila ubaguzi, hususan watu wasiokuwa na uwezo wa kifedha na wanaoishi katika maeneo yaliyotengwa. Akizungumza Jumatatu wakati wa hafla ya kuwaapisha mawakili hao wapya, Koome alisema kuwa jukumu la wakili halipaswi kuishia tu mahakamani bali…

Read More

Nairobi: Koome awaomba mawakili wapya kutumia sheria kama chombo cha kuwalinda wananchi.

Hakimu Mkuu Martha Koome amewaomba mawakili wapya walioteuliwa kutumia sheria kama chombo cha mabadiliko ya kijamii na kusaidia kufunga pengo la haki linalowakumba Wakenya walio hatarini na wasio na huduma za kutosha. Akizungumza wakati wa sherehe ya kuteuliwa kwa mawakili wapya kwenye Orodha ya Mawakili katika Mahakama ya Milimani, Koome aliwaomba mawakili kuzingatia uadilifu, kukumbatia…

Read More

Ebola Afrika Mashariki

Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kufuata kikamilifu maelekezo ya Wizara ya Afya kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Amesema ingawa Kenya bado haijathibitisha kesi yoyote ya Ebola, wananchi wanapaswa kuwa makini na kuchukua tahadhari kama ilivyokuwa wakati wa COVID-19 ili kulinda taifa…

Read More

Maraga Atoa Onyo Kali Kuhusu Utekaji na Upoteaji wa Watoto

Aliyekuwa Jaji Mkuu, Bw. David Maraga, ameonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la watoto wanaopotea, kutekwa nyara na kusafirishwa kiharamu nchini Kenya, akisema hali hiyo imefikia kiwango cha kutisha kinachohitaji hatua za haraka za kitaifa. Katika taarifa yake, Maraga alinukuu takwimu kutoka mfumo wa Child Protection Information Management System (ICPIMS) zikionyesha kuwa kati ya Januari 2025…

Read More

Mashabiki wa Asenali washerekea mjini Garissa baada ya ktwaa kombe la Epl baada ya miaka 22.

Makumi ya mashabiki wa kilabu ya Arsenal katika kaunti ya Garissa walijitokeza kwa wingi ili kusherehekea ushindi wa kilabu ya kuitwa kombe la Epl msimu huu. Wakizungumza mjini Garissa mshabiki hao wakiongozwa na Dickson Odhiambo waliisifia kilabu hiyo kwa kutwaa ubingwa huo, huku wengi wao wakisema kuwa kwa kipindi cha miaka 22 wamekuwa wakiisubiria ushindi…

Read More