Serikali imeeka mikakati ya kukabili Ebola
Serikali ya Kenya imetoa hakikisho kwa wakenya kwamba wizara ya afya iko imara kuhakikisha wananchi wako salama dhidi ya maradhi ya Ebola ambayo yanaendelea kuripotiwa nchini Congo. Akizungumza wakati wa sherehe za Eid-al-Adha waziri wa afya nchini Aden Duale alisema kuwa raia wote wanaoingia nchini wanakaguliwa katika mipaka ya taifa hili ili kuhakiksiha kuna usalama…
