Ken Obura Ajitenga Na Odm, Awania Ugavana Kama Mgombeaji Huru
Waziri Msaidizi Ken Obura ametangaza kuwa hatawania ugavana wa Kisumu kupitia chama cha ODM. Badala yake, amesema atawania kiti hicho kama mgombeaji huru katika uchaguzi mkuu ujao. Tangazo hilo linajiri wakati ambapo wagombea tisa wanapania kupata tikiti ya ODM kuwania ugavana wa Kisumu. Obura, ambaye kwa sasa anahudumu kama Mkuu wa Mipango katika afisi ya…
