Ahmed Khalif Kuenziwa Kupitia Uwanja wa Wajir
Uwanja mpya wa Wajir sasa utajulikana kama Ahmed Khalif Wajir Stadium baada ya Rais William Ruto kukubali ombi la viongozi wa eneo hilo la kumuenzi mwanasiasa mashuhuri marehemu Ahmed Mohamed Khalif. Hatua hiyo ilitangazwa wakati wa sherehe za Madaraka Day katika Kaunti ya Wajir, ambapo viongozi walieleza kuwa marehemu Khalif aliweka historia kwa kuwa mmoja…
