Skip to content

Iebc yakabiliwa na nakisi ya zaidi ya shilingi bilioni 33 kabla ya uchaguzi wa 2027

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka,nchini IEBC, imeonya kuwa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 huenda yakatatizika kutokana na uhaba mkubwa wa fedha. Naibu Afisa Mkuu Mtendaji wa tume hiyo, Obadiah Keittany, amesema kuwa IEBC inahitaji jumla ya shilingi bilioni 74 nukta 8 kuendesha uchaguzi huo, lakini hadi sasa imetengewa shilingi bilioni 41 nukta…

Read More