Rais William Ruto atetea uamuzi wake wa kueka kituo cha wagonjwa wa Ebola humu nchini.

Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha Ebola huko Laikipia, akisema kuwa itakuwa “unyama” na kutowajibika kukataa ombi lililofadhiliwa na Amerika la kusaidia kudhibiti vitisho vya afya na milipuko ya magonjwa. Akizungumza katika ziara ya kitaifa nchini Afrika Kusini, Rais alisema serikali ya Marekani imetoa mabilioni ya fedha kusaidia miundombinu…

Read More

Zaidi ya watu Elfu kumi na tano (15,000) wameaga dunia kutokana na virusi vya Ebola.

Hatari kutoka mlipuko hatari wa Ebola ni kubwa katika Afrika ya Kati lakini bado ni ndogo kimataifa, Shirika la Afya Duniani jana Jumatano lilisema, likiongeza kuwa virusi hivo huenda vimekuwa vikienea kwa miezi kadhaa.  Mlipuko wa homa ya mapafu yenye kuambukiza sana ulitangazwa katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ijumaa iliyopita.  Ebola imewaua…

Read More