Mahakama yasitisha amri ya kutotoka nje Lamu
Makundi ya kutetea haki za binadamu mjini Mombasa pamoja na viongozi wa kaunti ya Lamu, wameitaka serikali kuondoa mara moja amri ya kutotoka nje usiku iliyowekwa tangu mwaka 2017 kufuatia uamuzi wa mahakama uliositisha utekelezaji wake. Uamuzi huo ulitolewa Mei 21, 2026 na mahakama kuu ya Garsen, iliyosimamisha utekelezaji wa amri hiyo katika kaunti za…
