Uchumi wa Somalia kudorora zaidi mwaka huu
Taifa la Somalia linatarajiwa kushuhudia ukuaji hafifu wa uchumi kwa mwaka wa tatu mfululizo huku kupanda kwa bei za mafuta duniani kukiongeza shinikizo kwa uchumi wa nchi hiyo ambao tayari uko katika hali ngumu. Ripoti ya hivi karibuni ya Benki ya Dunia kuhusu uchumi wa Somalia inaonyesha kuwa uchumi wa nchi hiyo utakua kwa asilimia…
