Mahakama kutoa uamuzi leo dhidi ya kesi ya Gachagua.
Majaji watatu Erick Ogola, Antony Mrima na Freda Mugambi, leo Jumatatu wanatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu kesi inayopinga kutimuliwa kwa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Hata hivyo, huku akisema ataheshimu uamuzi utakaotolewa na mahakama, kiongozi huyo wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), alidokeza kwamba atakata rufaa iwapo uamuzi huo utatolewa dhidi yake. Akizungumza…
