Kalonzo azindua jukwaa la kutumia katika uchaguzi ujao
KIONGOZI wa Wiper Patriotic Front, Kalonzo Musyoka, wikendi alizindua rasmi jukwaa la kuendesha kampeni zake za urais, akiahidi kubadilisha maisha ya Wakenya dhidi ya kile alichokitaja kuwa ni uongozi mbaya, ufisadi na kupanda kwa gharama ya maisha. Uzinduzi huo ulifanyika miezi kadhaa baada ya Wiper kumuidhinisha rasmi Bw Musyoka kuwa mgombea wake wa urais. Kuidhinishwa…
