Skip to content

Rais Ruto awakosoa wapinzani kuhusiana na swala la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

Rais William Ruto amejibu wakosoaji wa utawala wake kuhusu jinsi wanavyoshughulikia mgogoro wa mafuta unaoendelea, akiwashutumu wapinzani wa kisiasa kwa kufaidika na mateso ya Wakenya kwa faida ya kisiasa badala ya kutoa suluhisho za vitendo. Akizungumza wakati wa hotuba ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Mombasa siku ya leo Ijumaa, Ruto alilinda hatua za…

Read More

Maandamano mjini Garissa

Wahudumu wa matatu mjini Garissa hii leo wameweza kulemaza shughuli za usafri hii nibaada ya wahudumuhao kuungana na wenzao kote nchini kwenye mgomo wa vyombo vya usafri kutokana na ongezeko la bei ya mafuta.Aidha mapema asubuhi ya leo makumi ya wasafri mjini madogo walilazimika kutumiapikipiki kuendekazini huku weingine wakilazimikakutembeakwa miguuhadimjiniGarissa.Hata hivyo wahudumu hao wa gamama…

Read More

Maraga ahimiza Bunge kutekeleza vikao mara moja, akipendekeza mpango wa hatua tatu kupunguza bei ya mafuta

Jaji wa Mahakama Kuu wa zamani David Maraga ameonyesha mshikamano na Wakenya waliokumbwa na kufungwa kwa usafirishaji nchini kote na kuwaomba Bunge kukutana mara moja ili kuidhinisha kifurushi cha hatua ambazo anasema zingelinda umma kutokana na bei za juu za mafuta.  Alipendekeza hatua tatu za haraka: kuachilia bidhaa zote za mafuta kwenye VAT, kuondoa kwa…

Read More

Martha Karua afananisha hali ya sasa ya uchumi na enzi za Moi

Kiongozi wa People’s Liberation Party, Martha Karua, ameilinganisha hali ya sasa ya uchumi nchini Kenya na changamoto zilizoshuhudiwa wakati wa utawala wa hayati Daniel arap Moi, akisema taifa bado limekwama katika mzunguko wa gharama kubwa ya maisha, utawala mbovu na matarajio yasiyotimizwa. Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Karua alikumbuka hali ya mwezi Juni…

Read More

Gachagua ataja mpango wa uagizaji mafuta kuwa “ulaghai”

Kiongozi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, ameutaja mpango wa serikali kwa serikali (G-to-G) wa uagizaji mafuta kuwa “ulaghai”, akiishutumu serikali ya Rais William Ruto, pamoja na baadhi ya wafanyabiashara kwa kuwaumiza Wakenya kupitia ongezeko la bei ya mafuta. Akizungumza kabla ya kuondoka kuelekea United Kingdom, Gachagua alisema mzozo wa…

Read More