Sifa FM Atoo (Kakuma) joins Resilience Action International (RAI) in Youth reproductive health workshop.
Resilience Action International (RAI) invited Sifa FM Atoo staff and other youths on a one-day workshop held in their premises located at Kakuma 2 refugee camp in Turkana County. RAI has its mandate on youth and reproductive health which its fit with the station’s day-to-day work especially to those living in the refugee camps and […]
Kaunti ya Taita Taveta – Maafisa 13 wahojiwa kuhusu ubadhirifu wa shilingi milioni nne za WW1.
Hatimaye maafisa wakuu 13 kutoka kaunti ya Taita Taveta walioandikiwa barua na bunge la kaunti hiyo kufika mbele yake ili kuelezea kuhusiana na ubadhirifu wa shilingi milioni nne fedha za hafla ya ukumbusho wa vita vya kwanza vya dunia walifika mbele bungeni. Maafisa hao waliongozwa na mawaziri wa elimu Gloria Monikombo na mwenzake wa vijana,michezo […]